Jeremiah 22:22


22 aUpepo utawaondoa wachungaji wako wote,
na wale ulioungana nao wataenda uhamishoni.
Kisha utaaibika na kufedheheka
kwa sababu ya uovu wako wote.
Copyright information for SwhKC